83% za wanaume wa Kibongo wanaoangaika na nguvu zao za Kiume ni wahanga wa utapeli.

This is a title

Wanatumia madawa yasiyoeleweka kila siku na bado wanaishia kuaibika. Je, na wewe umo kwenye huu msafara wa vipofu? Acha kupoteza pesa. Ibebe hii framework ya lishe niliyoiandaa, itumie leo, na uone tofauti.

Hapa chini kuna programu mbili za uhakika. Moja unaweza kujifanyia mwenyewe nyumbani na nyingine nimekuandalia kila kitu. Angalia matokeo ya wengine kisha ufanye maamuzi.

Ukweli ni kwamba, umeshatapeliwa vya kutosha.

Umetumia pesa nyingi kununua “madawa” na “vumbi la Congo” ambalo linakusababishia mapigo ya moyo badala ya suluhisho. Kila unapokunywa hayo madawa yanayokupa nguvu za ziada, unazidi kuua uwezo wako wa asili.

Najua unajisemea moyoni, “Huu ni utapeli mwingine.

ONYO!

Kama unatafuta DAWA ya miujiza itakayofanya kazi kwa dakika 5 kisha ikuache na maumivu ya kichwa... funga huu ukurasa mara moja

Hii siyo kwa ajili yako.

Lakini kama wewe ni mwanaume ambaye amechoka kuishi kwa wasiwasi, amechoka kuomba msamaha kitandani, na uko tayari kuwekeza kwenye mfumo wa kudumu utakaorudisha heshima yako na udhibiti kamili wa mwili wako… basi soma kila neno kwenye ukurasa huu.

HUU ni ujumbe muhimu zaidi utakaosoma mwaka huu.

Ukweli mchungu ambao hakuna anayetaka kukuambia

Sikiliza. Wacha tuweke kadi zote mezani.

Kuna janga la kimyakimya linaendelea sasa hivi. Na halizungumzwi. Wanaume wengi, labda hata wewe unayesoma hapa, wanapambana na vita mbaya sana wakiwa peke yao. Ni vita ya kushindwa kumiliki mchezo uwanjani. Ni tatizo la kuwahi kufika kileleni na kukosa stamina ya kutosha.

Na nini kinatokea?

Unajua kwa nini inauma sana? Kwa sababu ubongo wako unataka kuendelea, lakini mwili wako unakataa ushirikiano. Ni kama vile unaendesha gari la kifahari lakini breki zimekatika. Huwezi kudhibiti mwendo.

Na sekta ya madawa inajua hili. Wanafahamu udhaifu wako. Ndiyo maana wametengeneza mabilioni ya fedha kwa kukuuzia suluhisho la haraka.

Kwa nini Quick Fixes zinakuharibu na kukusababishia urahibu

Hapa ndipo nataka usikilize kwa makini. Unaponunua zile vidonge vya bluu, au unapoenda mtaani kutafuta “vumbi la kongo”, au dawa za kupaka zinazokufanya uganzi… unajua hasa unafanya nini?

Unahack mwili wako vibaya.

Mwili wa mwanaume ni mfumo (system). Ni muunganiko wa mzunguko wa damu, mfumo wa fahamu (nervous system), na saikolojia. Unapotumia kemikali au dawa za kupaka za uganzi:

Hii sio njia ya kuishi. Wewe ni mwanaume. Hupaswi kutegemea kikemikali ili uweze kutimiza majukumu yako ya asili.

Ni wakati wa kubadilisha mchezo.

MFUMO MPYA!

Kung'oa mizizi, siyo kukata matawi

Vipi kama ningekuambia kwamba tatizo lako sio kwamba “huna nguvu za kiume”? Tatizo lako ni kwamba mfumo wako umepoteza uelekeo (out of sync).

Mishipa yako imesinyaa kutokana na vyakula vya kisasa. Sumu zimejaa mwilini. Msongo wa mawazo (stress) umefunga milango ya damu kwenda sehemu sahihi. Mfumo wako wa kuzuia (pelvic floor) ni dhaifu.

Ili kurudisha heshima, hatuhitaji kukuwekea “plasta” kwenye kidonda kinachovuja damu. Tunahitaji kushona kidonda. Tunahitaji kutengeneza upya msingi wa mwili wako kwa kutumia Tiba Asili na Sayansi ya Kibaolojia.

Kwa miaka 8, nimekuwa nikifanya kazi na wanaume (kama wewe), kuwasaidia kuondokana na hii aibu. Sio kwa kuwapa uchawi, bali kwa kuwapa MFUMO. Mfumo ambao unatumia vyakula asili, mimea tiba iliyothibitishwa, na mbinu za kisaikolojia na kimwili kuurudisha mwili kwenye hali yake ya kiwanda (factory settings).

Shuhuda hazidanganyi

Sihitaji wewe uniamini mimi. Nataka uamini matokeo. Hivi ndivyo wanaume waliopitia huu mfumo wanasema (majina yamehifadhiwa kulinda faragha zao):

Hawa ni wanaume wa kawaida. Sio supermen. Wamegundua tu siri ya kufanya mwili ufanye kazi kwa niaba yao, sio dhidi yao.

  • TUNAKUTAMBULISHA

The Iron Stamina Protocal

Sasa, kwa kuwa umeelewa tatizo, ni wakati wa kukupa suluhisho. Tumeandaa mfumo kamili ambao utaondoa sumu mwilini, utazibua mishipa yako ya damu, utaimarisha misuli yako ya pelvic (inayozuia kutoka mapema), na kukurudishia uwezo wa kudhibiti hisia zako.

Lakini, kwa sababu najua wanaume tuko tofauti—kuna wale ambao wana muda wa kujifanyia vitu wenyewe, na kuna wale ambao wako busy sana na wanataka kila kitu kiwe tayari—nimeigawa hii ofa katika VIFURUSHI VIWILI (2).

Chagua kile kinachoendana na maisha yako, bajeti yako, na uhitaji wako wa haraka.

The Blueprint

Muongozo wa kujifandalia mwenyewe

Bei: TZS 55,000/= (Bei ya punguzo, badala ya TZS 105,000/=)

Huu ni mwongozo wa siri. Hii ni kwa yule mwanaume mtafutaji (hustler) ambaye anataka maarifa na yuko tayari kuingia jikoni na sokoni kujitengenezea tiba yake mwenyewe. Ukichukua kifurushi hiki, nakupa ramani kamili.

Ndani ya kifurushi hiki utapata:

Kifurushi hiki kinafaa kwa nani?

Kinafaa kama una bajeti ya kawaida, lakini una NIDHAMU na MUDA wa kwenda kununua vitu na kutengeneza mwenyewe ukiwa nyumbani. Hapa, unanunua maarifa yangu.

The Arsernal

Kifurushi kamili kilichoandaliwa

Bei: TZS 255,000/= (Most Popular & Recommended)

Hii ni kwa ajili ya “The Boss”. Wewe ambaye muda wako ni pesa. Huna muda wa kwenda sokoni kutafuta mizizi, huna muda wa kupima vijiko vya unga jikoni. Unataka matokeo, unayataka kwa uhakika, na unataka kazi ifanywe kwa ajili yako.

Ukichukua kifurushi hiki, tunachukua mzigo wote. Tumekusanyia mimea asili yenye nguvu zaidi, iliyoandaliwa kwa viwango vya juu vya usafi, na kupakiwa tayari kwa matumizi. Wewe kazi yako ni moja tu: Kutumia na kuona matokeo.

Ndani ya “The Arsenal” utapata:

Kifurushi hiki kinafaa kwa nani?

Kwa mwanaume anayetaka matokeo ya haraka na ya uhakika bila usumbufu wa kujiandalia. Ni “Plug and Play”. Wekeza kwenye mwili wako, meza tiba yako, na uende ukatawale uwanja.

Maswali yanayoulizwa sana

Najua una maswali. Wewe ni mtu mwelewa na hutaki kutapeliwa. Kama mtaalamu wako, niko hapa kujibu kila wasiwasi ulio nao kabla hujafanya maamuzi.

Je, huu ni utapeli mwingine wa mtandaoni? Nimeshanunua dawa nyingi sana hazijafanya kazi.

Sikulaumu. Soko limejaa matapeli wanaouza unga wa majani na kuuita tiba. Tofauti yetu ni kwamba sisi hatuuzi “miujiza”. Tunauza MFUMO (System). Tunaeleza kibaolojia jinsi mwili wako unavyofanya kazi na tunashambulia chanzo cha tatizo. Ndio maana tuna Chaguo la 1 (DIY) kwa wale wanaotaka kujitengenezea wenyewe ili wawe na uhakika na wanachokunywa. Sisi tuko wazi, transparent asilimia 100.

Ni zamu yako kufanya maamuzi

Hapa ndipo tulipofika.

Nimekuonyesha tatizo. Nimekuonyesha kwa nini njia ulizokuwa unatumia zimefeli. Nimekuonyesha mfumo mpya unaofanya kazi kibaolojia. Nimekupa shuhuda za wanaume waliokombolewa.

Sasa una machaguo mawili tu mbele yako:

Chaguo la Kwanza: Unaweza kufunga huu ukurasa. Unaweza kurudi kwenye maisha yako ya kawaida. Unaweza kuendelea kuwa na wasiwasi kila unapokaribia faragha. Unaweza kuendelea kutegemea vidonge vinavyokupa maumivu ya kichwa na kuharibu mwili wako. Unaweza kuendelea kuona aibu. (Hili ni chaguo rahisi, lakini lina maumivu ya kudumu).

Chaguo la Pili: Unaweza kufanya maamuzi ya kiume leo. Unaweza kuchukua udhibiti (take control). Unaweza kuwekeza kwenye mwili wako na kupata “The System”. Chukua hatua sasa hivi na uanze safari ya kurudisha heshima yako ndani ya siku chache zijazo.

Uamuzi ni wako. Lakini kumbuka, kutofanya maamuzi, pia ni maamuzi.

Muda wa visingizio umeisha. Chagua kifurushi chako hapa chini na tuanze kazi.

Nipe muongozo nijiandalie mwenyewe kwa TZS 55,000/=

Unapata mwongozo kamili kwenye simu yako sasa hivi.

Nahitaji kifurushi kilichoandaliwa kwa TZS 255,000/=

Tunatuma mzigo wako ulioandaliwa tayari mahali popote ulipo kwa faragha

Kumbuka!

Ukiendelea kusubiri, tatizo lako haliwezi kujitibu lenyewe. Chukua hatua leo.

Interested in working with us? We'd love to hear more.

Reach out to us, and our team will get back to you with a custom quote tailored to your project in less than 24 hours.